Majina ya walimu wa Ajira Mpya waliokubaliwa kubadilisha Vituo vya kazi

Majina ya walimu wa Ajira Mpya waliokubaliwa kubadilisha Vituo vya kazi

News No Comments

WALIMU WA AJIRA MPYA 2014 WALIOKUBALIWA KUBADILISHIWA VITUO

Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa imefanya mabadiliko ya vituo vya kazi kwa walimu Ajira mpya mwaka 2014 baada ya kupokea na kuchambua maombi mbalimbali kutoka kwa walimu walioomba kubadilishiwa vituo.
 
Hivyo walimu wote walioomba kubadilishiwa vituo lakini majina yao hayapo katika orodha hii kwa ngazi zote watambue kuwa maombi yao hayakukubaliwa na hivyo wanatakiwa kwenda kuripoti katika vituo walivyopangiwa kwa mujibu wa tangazo la tarehe 15/03/2014.
 
Inasisitizwa kuwa tarehe ya mwisho ya kuripoti ni 10/04/2014 na ambaye hataripoti mpaka tarehe hiyo atakuwa amepoteza nafasi ya ajira.
 
Hakutakuwa na mabadiliko mengine tena.
 
Tunawatakia kila la kheri.

 

 

Author

Leave a comment

Search

Back to Top